12 Februari 2014 - 20:30
Book Haramu wauwa watu 51 nchini Negiria

Wanachama wa Book Haramu wavamia kaskazini mwa mashiriki ya Nigeria nakuuwa watu 51 na kuchoma moto nyumba zao

Shirika la habari la AhlulBayt (a.s) ABNA: walioshuhudia tukio hilo wamesema kikundi chenye silaha cha Book Haramu walivamia sehemu hiyo ya kaskazini mwa mashariki ya Nigeria na kuuwa watu 51.Walio shuhudia tukio hilo waliongeza kusema kuwa wapiganaji wa Book Haramu  siku ya jumatano saa 10 ya jioni wakiwa wamepanda maloli ya kijeshi wakiwa wenye silaha za kisasa waliingia katika kijiji hicho cha Kandunga katika wilaya ya Borno na kukishambuli kijiji hicho na  kuchoma moto nyumba za wakazi wa sehemu hiyo na wale ambao walitaka kujinusu kwa kukimbia waliwapiga risasi na kupoteza maisha.